Mkoa wa Poro
Mandhari
Mkoa wa Poro | |
Mahali pa Mkoa wa Poro (kijani) katika Cote d'Ivoire za Jimbo la Savanes |
|
Nchi | Cote d'Ivoire |
---|---|
Jimbo | Savanes |
Serikali[1] | |
- Prefect | Daouda Ouattara |
- Rais wa Baraza | Coulibaly Tiémoko Yadé |
Eneo[2] | |
- Jumla | 13.400 km² |
Idadi ya wakazi (2014) | |
- Wakazi kwa ujumla | 763,852 |
GMT | (UTC+0) |
Mkoa wa Poro (kwa Kifaransa: Région du Poro) ni moja kati ya mikoa 31 ya nchini Cote d'Ivoire.
Uko katika Kaskazini ya nchi. Makao makuu ya eneo hilo ni Korhogo. Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 763,852.
Poro kwa sasa imegawanywa katika wilaya nne:
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.
- ↑ "Poro" Archived 5 Novemba 2016 at the Wayback Machine., gouv.ci, accessed 23 February 2016.
Makala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Poro kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |